Thursday 29 October 2015

Mambo 13 kwanini matokeo ya uchaguzi mkuu Tanzania Bara hayatofutwa



October 29 2015 ni siku ambayo vichwa vya habari magazetini vimetawaliwa
na stori ya kuahirishwa Uchaguzi mkuu Zanzibar pamoja na matokeo yake
yote kufutwa.



Hiyo ni habari iliyotokana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
ZEC, Jecha Salim Jecha kutangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi huo huku
akitaja sababu kadhaa za matokeo hayo kufutwa.



Hapa ni video ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi NEC, Jaji Damian Lubuva
akitaja sababu na kuthibitisha kwamba matokeo ya Uchaguzi mkuu Tanzania
bara yataendelea kutolewa.

No comments:

Post a Comment