Thursday 29 October 2015

Baadhi ya Wajumbe wa ZEC wapinga maamuzi ya Mwenyekiti



Muda mchache baada ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)
Jecha Salum. kutangaza jaribio lake la kufuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar
2015, makamishna wawili wa tume hiyo Ayoub bakari na Nassor khamis
wameuita uamuzi huo kua sio wa ZEC, bali wa Jecha binafsi na wamejitenga
mbali nao



Chanzo: DW kiswahili

No comments:

Post a Comment